Friday, 15 December 2017

HISTORIA YA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI
Kwa muda mrefu sana pwani ya afrika mashariki ilitawaliwa na shuhuli za kibiashara na maswala ya kiutamaduni. waarabu kutoka uarabuni waliingia na kutoka eneo hili kwa kutumia pepo za kimsimu. 

No comments:

Post a Comment