HISTORIA YA KISWAHILI
Sunday 18 February 2018
Thursday 4 January 2018
maeneo mbali mbali ya lahaja za kiswahili
Baada ya muda mrefu na maisha kuendelea baadhi ya Waswahili walianza kusafiri masafa marefu kwa njia ya bahari. Kutokana na hali hiyo Kiswahili kilianza kujigawa katika lahaja mbali mbali.
Mavazi ya asili ya Waswahili
Waswahili wa kale walikuwa na mavazi yao, ambayo kwa kiasi kikubwa yanatofautina na Waswahili wa zama tulizonazo, kwani mavazi ni miongoni mwa utambulisho wa jamii fulani.Waswahili wa zama zilizotangulia walijulikanwa kirahisi kwa sababu ya mavazi yao.
Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kuendeleza lugha ya kiswahili
Kuna vyombo mbalimbali ambavyo vimesaidia kukuza lugha ya kiswahili katika mwambao wa afrika ya mashariki miongoni mwa vyombo hivyo ni kamavile; vyombo vya habari pamoja na taasisi za elimu
Tuesday 2 January 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)