Thursday, 4 January 2018

Mavazi ya asili ya Waswahili

     

Waswahili wa kale walikuwa na mavazi yao, ambayo kwa kiasi kikubwa yanatofautina na Waswahili wa zama tulizonazo, kwani mavazi ni miongoni mwa utambulisho wa jamii fulani.Waswahili wa zama zilizotangulia walijulikanwa kirahisi kwa sababu ya mavazi yao.


No comments:

Post a Comment