Thursday, 4 January 2018

maeneo mbali mbali ya lahaja za kiswahili

Baada ya muda mrefu na maisha kuendelea baadhi ya Waswahili walianza kusafiri masafa marefu kwa njia ya bahari. Kutokana na hali hiyo Kiswahili kilianza kujigawa katika lahaja mbali mbali.

No comments:

Post a Comment