Thursday, 4 January 2018

maeneo mbali mbali ya lahaja za kiswahili

Baada ya muda mrefu na maisha kuendelea baadhi ya Waswahili walianza kusafiri masafa marefu kwa njia ya bahari. Kutokana na hali hiyo Kiswahili kilianza kujigawa katika lahaja mbali mbali.

Mavazi ya asili ya Waswahili

     

Waswahili wa kale walikuwa na mavazi yao, ambayo kwa kiasi kikubwa yanatofautina na Waswahili wa zama tulizonazo, kwani mavazi ni miongoni mwa utambulisho wa jamii fulani.Waswahili wa zama zilizotangulia walijulikanwa kirahisi kwa sababu ya mavazi yao.


Mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kuendeleza lugha ya kiswahili

Kuna vyombo mbalimbali ambavyo vimesaidia kukuza lugha ya kiswahili katika mwambao wa afrika ya mashariki miongoni mwa vyombo hivyo ni kamavile; vyombo vya habari pamoja na taasisi za elimu

Tuesday, 2 January 2018

Utamaduni wa Mswahili

Kama walivyo watu wa namna zote Waswahili nao pia wana utamaduni wao.

Usanifishaji wa lugha ya Kiswahili

Kutokana na kuwepo kwa lahaja nyingi za kiswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki, Kiunguja mjini kilichaguliwa kuwa ni lahaja ambayo itatumika katika mawasiliano yote rasmin.

miji ya asili ya waswahili

Inasemekana kuwa vijiji vya mwanzo vilivyoinukia kibiashara na waarabu ni visiwa vya Lamu,Pate, Shanga na Manda